id	author	title	date	pages	extension	mime	words	sentence	flesch	summary	cache	txt
ijosar-754	MURIMI, JACKLINE NJERI; MBOYA, CHUO KIKUU CHA TOM	ADHABU KWA MAAJUZA KWA MISINGI YA USHIRIKINA NA UCHAWI KATIKA JAMII YA ABAGUSII	2023	14	.pdf	application/pdf	4629	369	70	Kwa muda mrefu sasa, inaonekana kuwa adhabu ya uchawi katika jamii ya Abagusii inaonyesha kuwa kuna misukosuko katika mahusiano kati ya jinsia ya kike na ile ya kiume pale ambapo IJO- INTERNATIONAL JOURNAL OF SOCIAL SCIENCE AND HUMANITIES RESEARCH ( ISSN 2811-2466 ) Jambo hili limewasababishia matatizo makubwa ya afya ya akili katika kujaribu kukabiliana na ulimwengu sambamba na usasa.(Di Domenico,1982).	cache/ijosar-754.pdf	txt/ijosar-754.txt
