id	author	title	date	pages	extension	mime	words	sentence	flesch	summary	cache	txt
ijosar-862	MURIMI, JACKLINE NJERI; Mukuta, Jude Muli	UKIUKAJI WA HAKI ZA WATOTO KATIKA RIWAYA ZA KISWAHILI:MFANO WA CHOZI LA HERI NA NGUU ZA JADI	2024	19	.pdf	application/pdf	9314	633	73	MFANO WA CHOZI LA HERI NA NGUU ZA JADI Chozi la Heri ya Assumpta K. Matei na katika Nguu za jadi ya Clara Momanyi haswa suala la ukiukaji wa haki dhidi ya watoto ni taswira kamili ya jamii ya kisasa. Watoto ambao ni mali ya taifa ya nchi yetu wanahitaji kutunzwa na kulindwa kwani kuna ongezeko kubwa la ukiukaji wa haki zao za msingi.	cache/ijosar-862.pdf	txt/ijosar-862.txt
